Vipengele
Kupiga simuUtumaji ujumbeVikundiVituoMeta AIHaliUsalamaVidhibiti vya mzazi
FaraghaBloguProgramuKituo cha UsaidizKwa Biashara
Ingia
Pakua
Pakua

Pakua WhatsApp kwa ajili ya Kompyuta Kibao

App Store
Google Play

Kupiga Simu

Simu za video na za sauti za WhatsApp hazilipishwi*, hazina vipimo vya muda na zimefumbwa mwisho hadi mwisho. Piga simu ya moja kwa moja au katika vikundi kimataifa.

* Unaweza kutozwa gharama ya data. Wasiliana na mtoa huduma wako ili upate maelezo.

Jifunze zaidi

Kutuma ujumbe

Kuwa na mazungumzo ya kujieleza na ya kufurahisha ambayo yanakuhisi kabisa. Ujumbe umefumbwa mwisho hadi mwisho kwa hivyo ujumbe wako wa kibinafsi umelindwa.

Jifunze zaidi

Faragha

Faragha yako ni muhimu sana kwetu. Kwa ufumbaji wa mwisho hadi mwisho kwenye WhatsApp, ujumbe wako wa kibinafsi, picha, simu na mengine mengi husalia kati yako na watu unaowachagua, kumaanisha kwamba hata WhatsApp haiwezi kuziona.

Jifunze zaidi

Kupakua WhatsApp

Vipengele vyote unavyopenda: soga, kupiga simu, hali, kushiriki skrini, na zaidi, kwa skrini kubwa zaidi.

Pakua

Unahitaji usaidizi zaidi?

Tazama Maswali yote Yanayoulizwa Mara kwa Mara
Tazama Maswali yote Yanayoulizwa Mara kwa Mara
  • Vifaa vilivyounganishwa hutoa njia ya uhakika na salama ya kufikia WhatsApp kwenye kifaa chako chochote. Unaweza kuendelea kuunganishwa kwa kuunganisha hadi vifaa vinne kwa wakati mmoja kwenye simu yako kuu. Bado utahitaji simu yako kuu ili kusajili akaunti yako ya WhatsApp na kuunganisha vifaa vipya. Jifunze jinsi ya kuunganisha kifaa hapa.

    Vifaa vilivyounganishwa vinavyotumika ni pamoja na:

    • Windows
    • Mac
    • Web
    • Android tablet
    • iPad
    • WearOS
    • Simu za Mwenzi
    • Miwani za Meta AI
    • VR
    Jifunze zaidi
  • WhatsApp ya iPad inaleta vipengele vyote unavyopenda kwenye WhatsApp, kwenye skrini kubwa zaidi, kwa hivyo kuwasiliana na marafiki pamoja na familia na kushirikiana ni rahisi zaidi.

    Faragha kwenye vifaa vyote:

    Programu ya iPad hutoa njia ya uhakika na salama ya kufikia WhatsApp kwenye kifaa chako chochote. Kama kawaida, ujumbe na simu zako za binafsi zinalindwa na ufumbaji wa mwisho hadi mwisho, inamaanisha kuwa hakuna mtu aliye nje ya soga, hata WhatsApp, anayeweza kuusoma, kuusikiliza au kuushiriki.

    Kuunganisha na kushirikiana:

    • Endelea kupiga soga na unaowasiliana nao pamoja na biashara zako
    • Wapigie simu za sauti hadi watu 32 ikijumuisha kuwaalika wengine ukitumia kiungo cha kupiga simu
    • Shiriki skrini yako ukiwa kwenye simu
    • Tuma na upokee hati, picha na video
    • Funga soga mahususi ili mtu yeyote ambaye pia anatumia iPad yako asiweze kuangalia
    • Unda matukio na madodoso moja kwa moja kwenye soga zako

    Imeundwa mahususi kwa ajili ya iPad

    • Pata manufaa ya vipengele vya iPad iOS, kama vile Kidhibiti Hatua, Mwonekano Uliogawanywa na Kutelezesha Juu ili kuangalia programu nyingi kwa wakati mmoja
    • Tumia kibodi za nje na Penseli ya Apple
    Jifunze zaidi
  • Utahitaji kuunganisha kompyuta kibao ya android kwenye simu yako kwenye Mipangilio > Vifaa Vilivyounganishwa na usajili akaunti mpya kwenye kompyuta kibao yako ya Android.

    Jifunze zaidi
Pakua
Nembo Kuu ya WhatsApp
Nembo Kuu ya WhatsApp
Pakua

Huduma zetu

  • Vipengele
  • Blogu
  • Usalama
  • Kwa ajili ya Biashara

Sisi ni nani

  • Kuhusu sisi
  • Taaluma
  • Kituo cha Chapa
  • Faragha

Tumia WhatsApp

  • Simu
  • Desktop
  • Kompyuta kibao
  • WhatsApp Web

Unahitaji msaada?

  • Wasiliana Nasi
  • Kituo cha Usaidizi
  • Programu
  • Ushauri wa Usalama
Pakua

WhatsApp LLC 2026 ©

Sheria na Sera ya FaraghaSitemap
  • Afrikaans
  • azərbaycan
  • Bahasa Indonesia
  • català
  • čeština
  • dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • español
  • Filipino
  • français
  • Gaeilge
  • hrvatski
  • italiano
  • Kiswahili
  • latviešu
  • lietuvių
  • magyar
  • Melayu
  • Nederlands
  • norsk bokmål
  • o‘zbek
  • polski
  • Português (Brasil)
  • Português (Portugal)
  • română
  • shqip
  • slovenčina
  • slovenščina
  • suomi
  • svenska
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • български
  • қазақ тілі
  • македонски
  • русский
  • српски
  • українська
  • עברית
  • اردو
  • العربية
  • فارسی
  • मराठी
  • हिन्दी
  • বাংলা
  • ਪੰਜਾਬੀ
  • ગુજરાતી
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • ಕನ್ನಡ
  • മലയാളം
  • ไทย
  • 한국어
  • 日本語
  • 简体中文
  • 繁體中文(台灣)
  • 繁體中文(香港)