Nenda kwa yaliyomo

John Doerr

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

John Doerr (Alizaliwa Juni 29, 1951) ni mwekezaji nchini Marekani na mwekezaji wa mitaji hatari (venture capitalist) katika kampuni ya Kleiner Perkins huko Menlo Park, California.[1] Alijiunga na Kleiner Perkins mwaka 1980 na tangu wakati huo aliongoza uwekezaji katika makampuni kama Google, Amazon.com, Netscape, Compaq, na Sun Microsystems.[2] Mwaka 2022, yeye na mkewe Ann walitoa dola bilioni 1.1 kwa Chuo Kikuu cha Stanford kuanzisha shule ya kwanza mpya katika miaka 70, Stanford Doerr School of Sustainability.[3]

  1. "Forbes: John Doerr". Forbes. Iliwekwa mnamo 2026-04-15.
  2. "John Doerr, MBA 1976". Harvard Business School. Iliwekwa mnamo 2026-04-15.
  3. "Stanford Gets $1.1 Billion for New Climate School From John Doerr". The New York Times. Iliwekwa mnamo 2026-04-15.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Doerr kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.