BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Iran yakanusha madai ya Trump kwamba imeomba kusitishwa kwa mapigano
Tangu Marekani na Israel zilipoanza mashambulizi ya anga dhidi ya Iran mnamo tarehe 28 Februari, viongozi kadhaa wakuu wa Iran wameuawa
Vita Iran: Tanzania yatangaza kupanda kwa bei ya mafuta
Serikali nchini Tanzania imetangaza bei mpya ya juu ya mafuta inayoanza kutekelezwa hii leo Jumatano tarehe mosi Aprili 2026.
Dunia haina budi ila kujadiliana na Iran - Financial Times
Waziri wa mambo ya kigeni wa Marekani, Marco Rubio, amekosoa vikali ada zaidi inayotozwa meli zinazopita eneo hilo akisema ni kinyume cha sheria na haikubaliki.
Kwa nini Marekani inatuma vikosi maalum vya kijeshi Mashariki ya Kati?
Rais wa Marekani Donald Trump anaitaka Iran ifungue mlango huo wa bahari kufikia Aprili 6, akitishia kuongeza mashambulizi ya anga, ikiwa ni pamoja na kulenga vituo vya nishati.
Washambuliaji 10 bora wa pembeni duniani kwa sasa
Hii ni orodha ya wachezaji 10 wa pembeni wenye kusisimua zaidi duniani kwa sasa – ambao wako katika kiwango cha juu, kwa kufunga mabao, kutoa pasi za mabao na upigaji chenga.
Je, kuna umuhimu gani wa Mlango-Bahari wa Bab al-Mandab, ambao unatishiwa kufungwa na Iran?
Vitisho vya Iran dhidi ya njia muhimu ya meli katika Bahari ya shamu vimeibua wasiwasi kuhusu kuvurugika zaidi kwa biashara ya kimataifa.
Tuanzebe airejesha DR Congo kwenye Kombe la Dunia baada ya miaka 52
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imefuzu kwa Kombe lao la kwanza la Dunia baada ya miaka 52.
Kwa nini ni vigumu kwa Marekani kuchukua madini ya urani ya Iran?
Kuchimba akiba hiyo ya urani itakuwa moja ya "operesheni ngumu zaidi katika historia", afisa wa zamani wa ulinzi aliambia BBC.
Tetesi za soka Ulaya Jumatano: Klabu za Manchester zampigania kiungo wa Nottingham Forest Elliot Anderson
Manchester City wanaongoza Manchester United katika kinyang'anyiro cha kumnasa Elliot Anderson, Mashetani Wekundu wapata uungwaji mkono katika harakati zao za kumnasa Sandro Tonali, huku Liverpool wakimtaka Francisco Conceicao kuchukua nafasi ya Mohamed Salah.
Trump anapigana vita kwa kufuata hisia na hazifanyi kazi
Siku kumi na tatu baada ya vita, Trump aliulizwa na Fox News Radio vita vitaisha lini. Alijibu kwamba hakufikiri kwamba vita "vingekuwa virefu". Kuhusu kuimaliza, alisema "nitakapoihisi."
Je, Wahouthi watasababisha mshtuko mwingine wa soko la mafuta huko Bab al-Mandab?
Vita vya Iran vimefikia kilele katika bahari ya shamu, huko Bab al- Mandab , mlango bahari ambao ukifungwa unaweza kusababisha mzozo kamili wa nishati duniani.
Trump aambia Uingereza na nchi nyingine 'nendeni mkachukue mafuta yenu wenyewe' huko Hormuz
Rais wa Marekani aambia mataifa ambayo sasa hayana uwezo wa kupata mafuta ya ndege "Marekani haitaweza kuwasaidia tena, kama vile ambavyo hamukuwepo tulipowahitaji".
Sikiza / Tazama
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Hatima ya mazungumzo ya Marekani na Iran katika kivuli cha kutoaminiana
Kutoelewana kuko wazi. Washington inazungumzia maendeleo katika mazungumzo; Tehran inakataa kabisa. Lakini hili halihusu tu kutokubaliana; pia inaonyesha kutoaminiana.
Kwa nini Marekani inalenga kukiteka kisiwa cha Kharg cha Iran?
Kisiwa hicho kidogo kina miundombinu muhimu ya nishati ya Iran.
Waasi wa Houthi kujiunga vita ya Iran ina maana gani kwa dunia?
Waasi wa Houthi kutoka Yemen ni miongoni mwa washirika wakuu wa Iran katika ukanda wa Mashariki ya Kati, na kwa muda mrefu wamekuwa wakijihusisha na mashambulizi ya hapa na pale dhidi ya Israel tangu vita vya Gaza vilipoanza Oktoba 2023.
Silaha iliyoundwa na Iran inavyobadilisha vita vya anga duniani
Jeshi la Iran lilikuwa limeathiriwa na vita vya miaka mingi, na vikwazo vya Marekani vilimaanisha kwamba hakukuwa na njia rahisi ya kujenga upya jeshi lenye nguvu.
Je, kuna uwezekano gani kwa Marekani kuanzisha operesheni ya kijeshi ya ardhini Iran?
Wakati vita kati ya Iran, Marekani na Israel vikiingia siku yake ya thelathini, mkondo wa vita hivyo unashuhudia matukio ya haraka na mwelekeo unaobadilika zaidi
Kenya inavyosogea kwenye siasa za maneno ya nguoni
Maneno yanayozungumzwa na wanasiasa kwao yanaweza kuwa jukwaa la kisiasa tu lakini athari yake kwa umma ni zaidi ya hilo.
Aliko Dangote aongoza orodha ya watu matajiri zaidi Afrika 2026
Klabu ya mabilionea barani Afrika inazidi kutajirika huku masoko ya hisa yakipanda na sarafu zikitengemaa katika bara zima, utajiri wa viongozi wakuu wa biashara katika eneo hilo umeongezeka.
WARIDI WA BBC: 'Namlea mwanangu anayenitegemea saa 24 bila kupumzika'
Mwezi mzima wa Machi unatambulika kuwa wa kitaifa katika uhamasishaji wa tatizo la kupooza kwa ubongo.
Viongozi wakuu 20 wa Iran waliouawa ndani ya siku 20 za vita
Na ndani ya siku 20 tu za vita, idadi kubwa ya maafisa wa kijeshi, usalama na kisiasa wameuawa katika mashambulizi ya mfululizo ndani na nje ya Iran. Orodha hii inaangalia vigogo wakubwa
Makadirio mabaya ya Donald Trump kuhusu vita vya Iran
Aidha Trump hakutilia maanani kuwa kupanda kwa bei ya mafuta duniani, kutaiongezea Urusi mapato na kuisaidia kuimarika kiuchumi na katika vita dhidi ya Ukraine.
Wapiganaji wa Kikurdi: Kifahamu kikosi cha siri cha jeshi la wanawake pekee
Huku mashambulizi ya Marekani na Israel yakiendelea, uvumi unaongezeka kwamba makundi ya Wakurdi wa Iran walio na silaha walioko nchini Iraq hivi karibuni huenda wakavuka mpaka na kuingia vitani dhidi ya jamhuri ya Kiislamu. BBC imetembelea kundi moja la wapiganaji wa Kikurdi - kikosi cha wanawake wote.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 2 Aprili 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 1 Aprili 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 1 Aprili 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 1 Aprili 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani

























































